FIFA YAJIBU SIMBA, YAIACHA YANGA KILELENI, KAGERA NA POINTI ZAKE Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo. Hivyo, kwa majibu hayo ya Fifa, Yanga wanaendelea kubaki mabingwa wa Ligi Kuu Bara na Simba wakiwa katika nafasi ya pili.
0 comments:
Post a Comment