Tuesday, June 27, 2017




Details
Created: Tuesday, 27 June 2017 08:16

 

 BAADA kuanza vyema kwenye Mashindano ya COSAFA Castle Cup 2017 huko Moruleng, South Africa kwa kuifunga Mzalawi 2-0 katika Mechi ya Kundi A, Tanzania Leo wapo huko Royal Bafokeng kuivaa Angola.
Juzi Angola waliitungua Mauritiua 1-0.
Katika Mechi ya Juzi na Malawi Bao zote za Tanzania zilifungwa na Shiza Kicuya katika Dakika za 12 na 18.
Kwenye Mashindano hayo Tanzania ipo Kundi A pamoja na Angola, Mauritius na Malawi.
Hii ni mara ya 3 kwa Tanzania kucheza Mashindano haya baada ya kushiriki yale ya 1997 na 2015.
Kundi B la Mashindano la 2017 COSAFA Castle Cup lina Nchi za Zimbabwe, Madagascar, Mozambique na Seychelles.
++++++++++++++++++++++
FAHAMU:
Nchi Wanachama wa COSAFA, South Africa, Swaziland, Botswana na Zambia wataanzia Hatua ya Robo Fainali ambapo South Africa itacheza na Mshindi wa Kundi A na Swaziland kucheza na Mshindi wa Kundi B wakati Botswana ikivaana na Zambia.
Mashindano ya COSAFA yalianzishwa Mwaka 1997 na Nchi za South Africa, Zambia na Zimbabwe kubeba Kombe mara 4 kila moja wakati Angola ikibeba mara 3 na Namibia mara 1.
++++++++++++++++++++++
Mechi nyingine hii Leo ni ya Kundi A pia kati ya Malawi na Mauritius.
Kundi B wapo Uwanjani Kesho kwa Mechi 2 pia kati ya Zimbabwe na Madagascar wakati Seychelles ikiivaa Msumbiji.
2017 COSAFA CASTLE CUP
MSIMAMO:
COSAFA TEBO1
RATIBA/MATOKEO:

COSAFA CASTLE CUP, SOUTH AFRICA 2017

No
Match
GP
Date
K.O. Time
Venue / Lieu:



A
25/06/2017
15h00
Moruleng

1.
Tanzania
2
V
Malawi
0








2.
Mauritius
0
V
Angola
1
A
25/06/2017
17h30
Moruleng








3.
Msumbiji
0
V
Zimbabwe 4
B
26/06/2017
17h00
Moruleng








4.
Madagascar 2
V
Seychelles 0
B
26/06/2017
19h30
Moruleng








5.
Malawi
V
Mauritius
A
27/06/2017
17h00
Royal Bafokeng








6.
Angola
V
Tanzania
A
27/06/2017
19h30
Royal Bafokeng








7.
Zimbabwe
V
Madagascar
B
28/06/2017
17h00
Royal Bafokeng









8.
Seychelles
V
Msumbiji
B
28/06/2017
19h30
Royal Bafokeng 








9.
Tanzania
V
Mauritius
A
29/06/2017
17h00
Moruleng








10.
Malawi
V
Angola
A
29/06/2017
17h00
Royal Bafokeng **








11.
Msumbiji
V
Madagascar
B
30/06/2017
17h00
Moruleng








12.
Zimbabwe
V
Seychelles
B
30/06/2017
17h00
Royal Bafokeng  **




QUARTER FINALS



13.
Botswana
V
Zambia
01/07/2017
15h00
Royal Bafokeng






14.
Namibia
V
Lesotho
01/07/2017
17h30
Royal Bafokeng






15.
South Africa
V
WIN. GROUP A
02/07/2017
17h00
Royal Bafokeng







16.
Swaziland
V
WIN. GROUP B
02/07/2017
19h30
Royal Bafokeng


REST DAY















17.
LOSER M13
V
LOSER M15
04/07/2017
17h00
Moruleng









18.
LOSER M14
V
LOSER M16
04/07/2017
19h30
Moruleng









19.
WIN. M13
V
WIN. M15
05/07/2017
17h00
Moruleng









20.
WIN. M14
V
WIN. M16
05/07/2017
19h30
Moruleng

REST DAY









21.
WIN. 17
V
WIN. M18
07/07/2017
17h00
Moruleng









22.
LOSER M19
V
LOSER M20
07/07/2017
19h30
Moruleng









23.
WIN. M19
V
WIN. M20
09/07/2017
15h00
Royal Bafokeng










DEPARTURE OF TEAMS AND OFFICIALS


10/07/2017




0 comments:

Post a Comment