
Mshindi mara nane wa michuano ya
Olimpiki Usain Bolt amesema anaweza kuendelea kukimbia hata baada ya
mbio za dunia mwaka 2017 lakini itakuwa mara yake ya mwisho kufanya
hivyo.
Bolt raia wa Jamaica mwenye miaka 30, awali alisema kuwa mbio zake za mwisho zingelikuwa za London mwezi Agosti.Akiongea siku ya Jumatatu Bolt amesema amefanya mazungumzo na kocha wake Glen Mills na kuafikiana juu ya kuhitimisha safari yake mwakani.
Bolt amekuwa mmoja wa wakimbiaji mashuhuri duniani huku akitajwa kama binadamu mwenye kasi zaidi.
0 comments:
Post a Comment