Mshambuliaji
mpya wa Arsenal, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia
timu yake bao dakika ya 62 katika kipigo cha 2-1 kutoka kwa Sevilla
kwenye mchezo wa Kombe la Emirates, Uwanja wa Emirates mjini London.
Mabao ya Sevilla yamefungwa na Joaquin Correa dakika ya 49 na Steven N'Zonzi dakika ya 69
Home
»
»Unlabelled
» LACAZETTE AFUNGA LAKINI ARSENAL YAPIGWA 2-1 KOMBE LA EMIRATES
Monday, July 31, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment