Marouane Fellaini akienda juu kuifungia bao la kwanza Manchester United dakika ya 44 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Valerenga Uwanja wa Ullevaal
mjini Oslo, Norway. Mabao mengine ya United yamefungwa na Mbelgiji
mwenzake, Romelu Lukaku dakika ya 47 na Scott McTominay dakika ya 70
0 comments:
Post a Comment