Home
»
»Unlabelled
» Neymar to PSG: Hivi ndivyo waarabu wanavyoweza kutumia Trillioni 1+ kumsaini
Monday, July 24, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mwanzoni
taarifa hizi zilipoanza kutoka , watu wengi tuliamini PSG wasingeweza
kuvunja rekodi ya dunia kwa kulipa kiasi cha £197m ili kumsaini,
kwasababu wangekuwa wametoka nje ya sheria ya Financial Fair Play na
hata juzi Rais wa Barca, Josep Bartomeu alikaririwa akisema haamini kama
kuna klabu itaweza kumsaini Neymar kwa kuvunja mkataba wake kwa maana
ya kulipa kiasi hicho cha pesa.
0 comments:
Post a Comment