Kikosi cha Rayon
Sports cha Rwanda ndicho kitakachocheza na Simba katika mechi ya Simba
Day kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kawaida tamasha hilo
hufanyika Agosti 8. Rayon imekubali kushiriki tamasha hilo maarufu la
Simba Day ambalo hufanyika mara moja kila mwaka.
Nchini Rwanda, Rayon ndiyo timu yenye mashabiki wengi zaidi ikifuatiwa na APR ambayo inamilikiwa na jeshi.
Kwa misimu miwili iliyopita, Rayon imeonyesha kiwango kizuri kisoka na kufanikiwa zaiid ya AP

0 comments:
Post a Comment