Shaffi Dauda ameamua kujitoa kugombea ujumbe wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Dauda ambaye ni
mwanahabari alishikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(Takukuru) jijini Mwanza kwa tuhuma za rushwa.
Baada ya hapo
alilaumu kufanyiwa figisu makusudi kwa sababu ya masuala ya uchaguzi na
leo ametangaza kujitoa kuwania nafasi ya ujumbe.
Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Agosti 12 mjini Dodoma

0 comments:
Post a Comment