Details
Created: Wednesday, 26 July 2017 20:38
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JULAI 26, 2017
MAKUNDI LIGI DARAJA LA KWANZA MSIMU
2017/18
Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF), limetangaza makundi ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa timu 24
zitakazochuana msimu huu wa 2017/18 kuwania nafasi tatu muhimu za kupanda
daraja kucheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2018/19.
Kwa mujibu wa makundi hayo
yaliyoratibiwa na Bodi ya Ligi ya TFF, kundi ‘A’ litakuwa na timu za African
Lyon, Ashati United, Friends Rangers za Dar es Salaam, JKT Ruvu na Kiluvya
United za Pwani, Mgambo JKT ya Tanga, Mvuvumwa ya Kigoma na Polisi Moro ya
Morogoro.
Kundi ‘B’ zitakuwa timu za itakuwa
na timu za Coastal Union ya Tanga; JKT Mlale ya Ruvuma; KMC ya Dar es Salam,
Mawezi Market ya Morogoro, Mbeya Kwanza ya Mbeya, Mufundi United ya Iringa,
Mshikamano na Polisi Dar za Dar es Salaam.
Kundi ‘C’ ina timu za Alliance
School, Pamba na Toto African za Mwanza, Rihno Rangers ya Tabora, Polisi
Mara ya Mara, Polisi Dodoma ya Dodoma, Transit Camp ya Shinyanga na JKT Oljoro
ya Arusha.
Kadhalika, TFF imeagiza timu za
Ashanti United, Friends Rangers, KMC na Polisi Dar ya Dar es Salaam kuwasilisha
majina ya viwanja vitakavyotumiwa na timu zao wakati wa ligi hiyo inayotarajiwa
kuanza baadaye mwezi ujao.
Kutaja viwanja hivyo ni matakwa ya
Kanuni ya 6 (1) za kanuni Mama ya VPL inayozungumzia Viwanja kadhalika kusomwa
pamoja na Kanuni ya 11 inayozungumzia Leseni za Klabu kwamba kila timu haina
budi kuwa na viwanja vya mcehi za nyumbani ikiwa ni masharti ya kupata leseni
ya klabu.

0 comments:
Post a Comment