MASHABIKI WA PERU WAVAMIA ARGENTINA MECHI YA LEO USIKU Mashabiki wawili wa kike wa Peru wakipozi ili wapigwe picha eneo la Plaza Miserere mjini Buenos Aires baada ya kuwasili kuishabikia timu yao ya taifa katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Argentina usiku wa leo
0 comments:
Post a Comment