Alexis
Sanchez (kushoto) akishangilia na Laurent Koscielny baada ya kuifungia
Arsenal mabao mawili dakika za 62 na 66 na kuiwezesha kushinda 3-2 dhidi
ya wenyeji, Crystal Palace usiku wa jana Uwanja wa Selhurst
Park mjini London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Shkodran
Mustafi dakika ya 25 wakati ya Palace yalifungwa na Andros Townsend
dakika ya 49 na James Tomkins dakika ya 89
Home
»
»Unlabelled
» SANCHEZ AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-2 UGENINI
Friday, December 29, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment