Bado siku 27 michuano ya Kombe la dunia kwa mwaka 2018 ianze
nchini Urusi, hii ni michuano mikubwa na mvuto wa michuano hii unakuja
kutokana na michuano kuwa na utaratibu wa kufanyika mara moja kila baada
ya miaka minne.
Kuelekea michuano hiyo kampuni ya fashion ya Louis Vuitton
imetengeneza sanduku maalum litakalotumika kubebea Kombe la Dunia kwa
mwaka huu 2018.
0 comments:
Post a Comment