Baada
ya kuwatambulisha wachezaji wao wapya kwa umma hivi karibuni, Los
Angeles Clippers wiki hii wamewatambulisha wachezaji wao wengine
ambaoni Kawhi Leonard and Paul George.

Mmiliki wa Clippers, Steve Ballmer hajali gharama yoyote inayokuja katika ujenzi wa timu yake ya nyumbani.
0 comments:
Post a Comment