MANCHESTER UNITED WAAMBULIA SARE KWA AZ ALKMAAR EUROPA LEAGUE Brandon Williams wa Manchester United (kushoto) akisukumana na Dani de Wit wa AZ Alkmaar wakati wakigombea mpira usiku wa jana katika mchezo wa Kundi L UEFA Europa League uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Cars Jeans mjini Den Haag
0 comments:
Post a Comment