Kocha
wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger ameweka wazi kwa nini hakufundisha
timu yoyote England baada ya kuachana na Arsenal, Wenger baada ya
kuachishwa kazi alieleza kuwa alipokea ofa zaidi ya mbili ya
kuzifundisha club za England lakini alikataa.
Wenger leo ameweka
wazi kuwa sababu kuu ya kuzikataa ofa hizo kwani angekuwa anaona kama
anajihusisha na Arsenal japo sio moja kwa moja, Wenger hadi anaachishwa
kazi May 2018 alikuwa ameifundisha Arsenal kwa miaka takribani 22.
0 comments:
Post a Comment