BAYERN MUNICH WAICHAPA PSG 1-0 NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia na Kombe lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain, bao pekee la Kingsley Coman dakika ya 59 usiku wa Jumapili Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno
0 comments:
Post a Comment