MCHEZAJI
mpya wa Yanga ambaye ni mshambuliaji kutoka Burkina Faso, anatarajiwa
kutua kesho Agosti 31 ameanza leo safari ili kuibuka ndani ya ardhi ya
Tanzania.
Yacouba
Sogne yeye ni mshambuliaji ambaya ilipaswa awasili nchini Agosti 27 ila
kutokana na kubadilisha ratiba ya ndege alikwama kusafiri na mashabiki
wa Yanga walijitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere
kumpokea na kuambulia patupu.
0 comments:
Post a Comment