KIPA NAMBA MOJA WA BURUNDI, JONATHAN NAHIMANA AJIUNGA NA NAMUNGO FC BAADA YA KUACHANA NA KMC Kipa wa kimataifa wa Burundi, Jonathan Nahimana akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, akitokea KMC ya Kinondoni
0 comments:
Post a Comment