PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AJIUGA NA AS VITA CLUB BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAKE YANGA SC ALIYEKUWA kiungo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi leo amejiunga na AS Vita ya kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo (DRC) kwa majaribio kufuatia kumaliza mkataba wake tmu ya Jangwani
0 comments:
Post a Comment