Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limewatangaza waamuzi watakaochezesha mechi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Jumamosi.
Waamuzi haoni Ludovic
Charles wa Tabora ambaye atasaidiana na Ferdinand Chacha (Mwanza)
Abdallah Mkomwa (Pwani) na Josephat Bulali atakayekuwa mezani.
Tayari mechi hiyo
imekuwa gumzo, hii ni kutokana na Simba kuanza ligi kwa kazi kubwa
kutokana na Azam FC kuwa imeamua kufanya mabadiliko ikiwa ni pamoja na
kuwaacha nyota wake zaidi ya watano.
Timu zote zinakutana
zikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mechi za kwanza za Ufunguzi kushinda
Simba walipata ushindi wa magoli 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting huku
Emmanuel Okwi akifunga magoli manne na Matajiri wa jiji la Dar Azam FC
walipata ushindi ugenini wa goli 1-0 dhidi ya wenyeji timu ya Ndanda FC
0 comments:
Post a Comment