Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa na mipira mitatu wakati wa mazoezi ya timu yake leo mjini London kujiandaa na mchezo wa raundi ya nne ya Kombe la Carabao dhidi ya Norwich kesho, wakitoa kuifunga 5-2 Everton jana hadi imemfukuza kocha wake, Mholanzi, Ronald Koeman
0 comments:
Post a Comment