Chipukizi aliyepandishwa kutoka timu B, Jose Arnaiz akishangilia kwa staili yake baada ya kuifungia bao zuri la tatu Barcelona dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Murcia kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme Uwanja wa Nueva Condomina, Murcia. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcecer dakika ya 44 na Deulofeu dakika ya 52
Home
»
»Unlabelled
» KINDA WA B AFUNGA BONGE LA BAO BARCA YASHINDA 3-0
Thursday, October 26, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment