Bayern Munich waliichapa PSG mabao 3 kwa 1 na sasa Bayern wanakuwa timu ya tatu kufikisha jumla ya mabao 250 katika Champions League wakiungana na timu za Barcelona na Real Madrid.
Lioneil Messi alikuwepo uwanjani wakati wakiiua Sporting bao 2 kwa nunge na sasa baada ya mchezo huo Lioneil Messi anakua Muamerika Kusini wa kwanza kucheza mechi 121 CL tangu dunia ianze, Juventus waliiua Olympiacos bao 1 kwa nunge.
Ndoto za Atletico Madrid kufanya vizuri Champions League zimefutika baada ya kutoka suluhu ya bao moja kwa moja na Chelsea huku AS Roma wakiifunga FC Qarabag bao 1
0 comments:
Post a Comment