Ulimwengu leo amepost video clip ikimuonesha ameungana na wenzake wakiwa mazoezini na kuandika maneno yanayosema “They will eat their Words nashukuru Mungu kwa kuzidi kunipa afya njema” halafu Mbwana Samatta amecomment nakuandika “nakujua ukiwa moto napata woga na hasira utakazorudi nazo keep it up bro”
Thomas Ulimwengu bado hajaweka wazi kama amerudi katika timu yake ya mwanzo ya AFC Eskilstuna ya Sweden au amepata timu mpya ulaya, kwani post yake inaonesha kuwa location yupo Bologna Italy.
0 comments:
Post a Comment