Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ambaye ni mwanasoka bora
wa dunia kwa sasa, amenaswa na kamera akimpapasa makalio mchezaji
mwenzake, Marcelona.
Marcelona raia wa Brazil ambaye ni rafiki wa Ronaldo, alikuwa akifurahia
bao alilolifunga kabla ya Ronaldo kumpapasa mtindo kama ule aliowahi
kuufanya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso.
Katika mechi hiyo, Madrid ilishinda kwa mabao 4-1 dhidi ya Valencia,
Ronaldo akifunga mawili, Marcelo moja kama ilivyokuwa kwa Toni Kroos.

0 comments:
Post a Comment