Nahodha
wa Real Madrid, Sergio Ramos akiwahamasisha wachezaji wenzake wakati wa
mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme, maarufu kama
Copa del Rey usiku wa jana timu yake ikifungwa 2-1 na Leganes Uwanja wa Santiago
Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Leganes yalifungwa na Javier Eraso
dakika ya na Gabriel Appelt Pires dakika ya 55 wakati la Real
iliyowakosa nyota wake, Cristiano Ronaldo na Gareth Bale lilifungwa
na Karim Benzema dakika ya 47.
Real ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane imetolewa kwa mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 2-2, kufuatia enhyewe kushinda 1-0 ugenini kwenye mchezo wa kwanza
Real ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane imetolewa kwa mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 2-2, kufuatia enhyewe kushinda 1-0 ugenini kwenye mchezo wa kwanza

0 comments:
Post a Comment