Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Atletico Madrid dakika ya 71 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Copenhagen Uwanja wa Telia Parken mjini Copenhagen usiku wa Alhamisi katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Saul Niguez dakika ya 21, Kevin Gameiro dakika ya 37 na VĂctor Machin Perez 'Vitolo' dakika ya 77 baada ya wenyeji kutangulia kwa bao la Viktor Fischer dakika ya 15
Home
»
»Unlabelled
» GRIEZMANN AFUNGA ATLETICO MADRID YASHINDA 4-1 ULAYA
Friday, February 16, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment