Nyota
wa Tottenham Hotspur, Waingereza Harry Kane na Dele Alli wakikimbia
kwenye mazoezi ya timu yao jana kujiandaa na mechi ya kwanza ya hatua ya
16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus leo Uwanja wa Allianz mjini Torino. Nao FC Basel watakuwa wenyeji wa Manchester City Uwanja wa St. Jakob-Park mjiji Basel, mechi zote zikianza Saa 4:45 usiku
Home
»
»Unlabelled
» JUVE NA SPURS TORINO LEO LIGI YA MABINGWA, MAN CITY WAMESAFIRI PIA
Tuesday, February 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment