Klabu ya Bayern Munich
imeingia mkataba na hoteli maarufu ya Courtyard by Marriott kutengeneza
vyumba ambavyo vitawawezesha baadhi ya mashabiki wake kushuhudia mechi
zake kwenye Uwanja wa Allianz Arena wakiwa kitandani.
Hoteli hiyo itajenga uwanja huo ambao sehemu ya vyumba vyake vitakuwa vikiangalia sehemu ya uwanja huo.
Hivyo watakaopanga,
pamoja na kupata huduma ya kulala, watakuwa wakipata nafasi ya kuangalia
mechi uwanjani hapo wakiwa vyumbani mwao.


0 comments:
Post a Comment