Nyota
wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao
matatu dakika za 25, 53 na 85 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, FC
Porto kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa
Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Do Dragao mjini Porto, Ureno.
Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 29 na
Roberto Firmino dakika ya 69
Home
»
»Unlabelled
» SADIO MANE APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-0
Thursday, February 15, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment