Erik
Lamela akishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 34 katika
ushindi wa 2-0 dhidi ya Newport kwenye mchezo wa marudio wa Raundi ya
Nne Kombe la FA England usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley, London.
Hilo ni bao la kwanza kwa Lamela tangu Septemba mwaka 2016. Bao la kwanza Newport walijifunga kupitia kwa Dan Butler dakika ya 26 kaabla ya Lamela kufunga ka pili.
Spurs sasa itakutana na vibobde wa Ligi Daraja la Kwanza, Rochdale katika hatua ijayo kama February 18
0 comments:
Post a Comment