Mshambuliaji
Robin van Persie akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Feyenoord
dakika ya 78 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi
ya Jens Toornstra timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Groningen kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uholanzi, maarufu kama Eredivisie
usiku wa jana Uwanja wa Feyenoord mjini Rotterdam. Mabao mengine
ya Feyenoord yalifungwa na Jens Toornstra dakika ya 53 na Jerry St Juste
dakika ya 72 na ikumbukwe, Van Persei mwenye umri wa miaka 34 sasa
amerejea Januari timu hiyo iliyomuibua kisoka kabla ya kumuuza Arsenal
mwaka 2004
Home
»
»Unlabelled
» VAN PERSIE AFUNGA BAO LA KWANZA TANGU AREJEE FAYERNOOD
Saturday, February 10, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment