Thursday, May 17, 2018

Nahodha wa klabu ya Juventus, Giunluigi Buffon, ametangaza rasmi kuwa ataachana na soka mwisho wa msimu huu. kipa huyo aliyedumu na klabu hiyo kwa takribani miaka 17, sasa ametangaza kuachia ngazi rasmi.

Takwimu za Mwaka wa mwisho wa Buffon

Jumla 33
28 17 2.970
Michezo 20 alianza 14 akatoka 11 Dakika 1.800
Michezo 9 Alizoanza 11 alizotoka 3 dakika 810
3 3 270
1 3 90

Buffon, aliyejiunga na klabu ya Juventus, Mwaka 2001, akitokea Palma kwa kitita cha paundi million 30.

Ada yake ilimfanya kuwa Kipa ghali duniani rekodi hiyo iliyodumu kwa takribani miaka 17. Baadae rekodi hiyo ilivunjwa na kipa wa klabu ya Manchester city Ederson Moreas, kwa kitita cha paundi million 35, akitokea Benefica nchini Ureno.

TIMU YA TAIFA
# Mechi michezo goli
Italy
1 Oct 29, 1997 176
Italy
Sep 16, 1997 4
Italy
Dec 20, 1995 11
Italy
Sep 10, 1994 3
Italy
Jan 24, 1995 3
Italy
Dec 8, 1993 3
Buffon, ameshinda mataji 23, kwa ngazi ya soka makombe 9, ya ligi kuu Italy maarufu series A, makombe 5 coppa italia, 6 super coppa Italia, na 1 uefa, kombe la dunia 1, na 1 kombe la series B.

Buffon, amecheza michezo ya ligi kuu Italy takribani 508. pia amechezea michezo 176 timu ya taifa ya Italia
Tuzo zake

0 comments:

Post a Comment