Adam
Salamba ameonyesha mchuma wake mpya siku moja tu baada ya kusaini
mkataba wa miaka miwili na mabingwa wa Tanzania Bara, Simba.
Salamba
anatokea Lipuli FC ya Iringa na aneoana akiwa na gari hiyo aina ya
Toyota Crown ambayo thamani yake ni kati ya Sh milioni 13 hadi milioni
16.
0 comments:
Post a Comment