Mshambuliaji
mpya wa DC United, Wayne Rooney akishangili na wachezaji wenzake, Yamil
Asad na Taylor Kemp baada ya kutokea benchi na kuisaidia timu yake
kushinda 3-1 dhidi ya Vancouver Whitecaps kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya
Marekani (MLS) alfajiri ya leo Uwanja wa Audi Field mjini Washington,
DC. Mabao ya DC yamefungwa na Yamil Asad dakika ya 27, Paul Arriola
dakika ya 69 na 80 kwa pasi ya Rooney wakati la kufutia machozi la timu
ya Canada, Vancouver Whitecaps
Home
»
»Unlabelled
» ROONEY AANZA VIZURI MAREKANI, AISAIDIA DC UNITED KUSHINDA 3-1
Sunday, July 15, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment