Karim
Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 kwa
penalti na 80 akimalizia pasi ya Gareth Bale katika ushindi wa 4-1 wa
Real Madrid jana dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa
Manispaa ya Montilivi mjini Girona. Mabao mengine ya Real yamefungwa na
Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 39 na Bale dakika ya 59, wakati la
Girona limefungwa na Borja GarcĂa dakika ya 16
Home
»
»Unlabelled
» BENZEMA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 4-1 LA LIGA
Monday, August 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment