Mshambuliaji
mzaliwa wa Burundi, Saido Berahino (katikati) akipongezwa na wenzake
usiku wa jana baada ya kuifungia Stoke City bao la kwanza dakika ya 53
katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa Raundi ya
Pili ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Bet365
mjini Stoke-on-Trent, Staffordshire. Bao la pili Juninho Bacuna
wa Huddersfield alijifunga dakika ya 90 na ushei.
Mara ya mwisho Berahino alifunga akiwa West Bromwich Albion Februari mwaka 2016, yaani zimepita siku 913 na mechi 47, wakati huo Donald Trump alikuwa bado nyota wa TV. Johan Cruyff, George Michael, Prince, na Muhammad Ali wote walikuwa hai

0 comments:
Post a Comment