Mshambuliaji
Msenegali, Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia
Liverpool bao la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi
ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu
Uwanja wa Selhurst Park mjini London, kufuatia James Milner kufunga la
kwanza kwa penalti dakika ya 45
Home
»
»Unlabelled
» LIVERPOOL YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND, YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0
Tuesday, August 21, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment