Jose Mourinho katika mkutano wake na waandishi wa habari alijibu kwa kifupi kuhusiana na mchezaji Paul Pogba “kinachomuhusu atakijibu mwenyewe kwa mdomo wake, kama unataka majibu kwa maneno ya Paul mwenyewe unatakiwa umfuate na umuulize”
Mourinho alijibu pia kwa kifupi kuhusiana na kudaiwa kuwa hayupo katika uhusiano mzuri na mtendaji mkuu wa club hiyo Ed Woord kwa madai ya kutompa pesa za usajili wa wachezaji aliyowahitaji, Mourinho alijibu “Ndio tupo katika uhusiano mzuri”
0 comments:
Post a Comment