Mwanasoka
Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia na wachezaji wenzake wa
Juventus baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio kwenye mchezo wa Serie A
leo Uwanja wa Allianz mjini Torino, mabao ya Miralem Pjanic dakika ya
30 na Mario Mandzukic dakika ya 75. Ronaldo ndiye aliyetoa pasi ya bao
la pili, ingawa amefikisha mechi mbili tangu awasili Juventus bila
kufunga bao
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO ATOA PASI YA BAO LA PILI JUVENTUS YASHINDA 2-0
Monday, August 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment