Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma akiifungia bao la pili Azam FC kwa mkwaju wa penalti jana jioni baada ya Idd Suleiman 'Nado' kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Dar City kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, bao lingine likifungwa na Mzambia, Obrey Chirwa
Home
»
»Unlabelled
» NGOMA ALIVYOIFUNGIA AZAM FC KWA PENALTI IKIILAZA DAR CITY 2-0 MECHI YA KIRAFIKI UHURU
Friday, December 20, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment