Riyad
Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili
dakika ya 33 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Manchester United
usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya
Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Man
City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 17 na Andreas Pereira
aliyejifunga dakika ya 38, wakati bao pekee la Man United lilifungwa na
Marcus Rashford dakika ya 70
Home
»
»Unlabelled
» MANCHESTER CITY YAITANDIKA MANCHESTER UNITED 3-1 OLD TRAFFORD CARABAO CUP
Wednesday, January 8, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment