Bondia
Deontay Wilder amemfukuza kazi kocha wake Mark Breland kufuatia kupigwa
TKO round ya 7 vs Tyson Fury na kupoteza Ubingwa wa Dunia uzito wa juu
WBC.
Wilder anaamini Mark alikosea kurusha taulo ulingoni kuashiria kuwa Wilder hawezi kuendelea tena na pambano

0 comments:
Post a Comment