Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar leo Klabu ya Simba inashuka dimbani kukipiga na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaopigwa saa moja usiku kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam leo.
0 comments:
Post a Comment