Klabu ya Simba imefanikiwa kuchukua pointi zote tatu baada ya kuipa
kipigo Kagera Sugar cha bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Goli la Simba lilifungwa na Meddie Kagere kwa mkwaju wa penati dakika ya 61.
0 comments:
Post a Comment