Kiungo wa kati wa
Brazil Philippe Coutinho, 27, ameambiwa anaweza kuondoka Barcelona kwa
kitita cha chini ya £77m mwisho wa msimu huu huku Manchester United,
Chelsea, Manchester City, Tottenham na Liverpool zote zikimnyatia.
(Express)
Chelsea inaelekea kumnyakua kipa wa klabu ya Hartlepool
na England Brad Young, 17, ambaye pia anasakwa na Manchester United na
Arsenal. (Sun)
- Pele ahisi 'aibu' kutoka nyumbani
- Ighalo kukosa kambi ya mazoezi ya Man United kutokana na hofu ya virusi vya corona
- Maisha ya Kobe Bryant katika picha

Mkufunzi wa zamani wa Arsenal Unai Emery amesema kwamba klabu hiyo imekuwa ikishuka wakati alipowasili na kuwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutokuwa na tabia nzuri. (France Football - in French)
MIpango ya 2020-21 ya klabu ya Manchester imesitishwa kutokana na virusi vya corona baada ya klabu hiyo kupanga kwenda China. (ESPN)
Kiungo wa kati wa
Brazil Philippe Coutinho, 27, ameambiwa anaweza kuondoka Barcelona kwa
kitita cha chini ya £77m mwisho wa msimu huu huku Manchester United,
Chelsea, Manchester City, Tottenham na Liverpool zote zikimnyatia.
(Express)
Chelsea inaelekea kumnyakua kipa wa klabu ya Hartlepool
na England Brad Young, 17, ambaye pia anasakwa na Manchester United na
Arsenal. (Sun)- Pele ahisi 'aibu' kutoka nyumbani
- Ighalo kukosa kambi ya mazoezi ya Man United kutokana na hofu ya virusi vya corona
- Maisha ya Kobe Bryant katika picha
Mkufunzi wa zamani wa Arsenal Unai Emery amesema kwamba klabu hiyo imekuwa ikishuka wakati alipowasili na kuwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutokuwa na tabia nzuri. (France Football - in French)
MIpango ya 2020-21 ya klabu ya Manchester imesitishwa kutokana na virusi vya corona baada ya klabu hiyo kupanga kwenda China. (ESPN)
0 comments:
Post a Comment