Kipa
wa Morocco akidaka mpira mbele ya kiungo mshambuliaji wa Tanzania,
Mwanahamisi Omary 'Gaucho' kwenye mchezo wa michuano ya Wanawake kwa
nchi za Kaskazini mwa Afrika ijulikanayo kama UNAF, leo Uwanja wa Kram
Jijini Tunis.
Happiness Hezron wa Twiga Stars (kulia) akiupigia hesabu mpira dhidi ya wachezaji wa Morocco. Morocco
imeshinda 3-2 na huo ni mchezo wa kwanza kwa Twiga Stars walioalikwa
kuongeza ladha ya mashindano hayo kupoteza, baada ya kushinda 7-2 dhidi
ya Mauritania na 3-1 dhidi ya Algeria.


0 comments:
Post a Comment