Bondia
Mmarekani, Deontay Wilder (kushoto) akimsukuma mpinzani wake,
Muingereza Tyson Fury jana kwenye mkutano na wa mwisho na Waandishi wa
Habari mjini Las Vegas, Marekani kuelekea pambano lao la Jumapili
asubuhi ukumbi wa MGM Grand Jijini humo, ambalo ltakuwa na marudiano
baada ya wawili hap kutoka droo Desemba 2018.
Home
»
»Unlabelled
» Tyson Fury na Wilder wataka kuzipiga ‘Kavu kavu’ Las Vegas
Thursday, February 20, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment