Ross
Barkley akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili
dakika ya 64 kufuatia Willian kufunga la kwanza dakika ya 13 katika
ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Raundi ya Tano ya
Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London
hivyo kutinga Robo Fainali
Home
»
»Unlabelled
» CHELSEA YAIPIGA LIVERPOOL 2-0 NA KUITOA KOMBE LA FA
Thursday, March 5, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment