Watford yaanza na usajili wa kiungo kutoka klabu ya Le Havre Watford imekamilisha usajili wa kiungo Pape Gueye kutoka klabu ya Le Havre inayoshiriki Ligue 2 ya nchini Ufaransa kwa mkataba wa miaka mitano utakaoanza Julai 1, 2020.
0 comments:
Post a Comment